4x4

ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI WA MASHINDANO YA OLYMPIC


Jana Ijumaa, Julai 5, 2016 Mashindano ya Olimpiki 2016 yalizinduliwa rasmi mjini Rio De Jeneiro nchini Brazil na kupambwa na burudani ya tamaduni za nchi hiyo kama kawaida ya mashindano mengine amabayo tumekuwa tukiyaona yakiwemo Fainali za Kombe la Dunia, Uefa Euro na mengine.
Pamoja na hivyo ufunguzi wa mashindano hao haukubarikiwa na raia wengi wa Brazil waliojikusanya nje ya uwanja kuandamana kuyapinga.
Wananchi hao walipambana na polisi waliotumia mabomu ya machozi kuwatawanya. Ndani ya uwanja huo wa Maracana wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 kulikuwa na viti vitupu vingi.

Post a Comment