BI HARUSI JESTINA JULIUS AMEREMETA


 Bi harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akiwa katika pozi kabla ya kuanza kupambwa, ambapo anatarajiwa kuagwa katika ukumbi wa Unenamwa uliopo Kimara Jijini Dar es Salaam hivi punde na kufatiwa na Hafla ya Sherehe ya Harusi inayotarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016. katika kanisa la Waebrania (E.A.G.T) lililopo kimara Dar es Salaam. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Biharusi katika muonekano wake
 Bi harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akiwa atika tabasam



 Bi harusi Mtarajiwa, Jestina Julius akipambwa na Domitila Mbawala ambaye ni Mmiliki wa Clara Beauty Salooni  liyopo Kimara Suka Dar es Salaam ,ambapo Sherehe ya hafla hiyo itafanyika katika Ukumbi wa Unenamwa na kufatiwa na Ndoa inayo tarajiwa kufungwa Agosti 21, 2016 Dar es Salaam  katika kanisa la Waebrania (E.A.G.T) lililopo kimara . (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mpambe wa bi harusi mtarajiwa Mrs Shija, Upendo Shija akipambwa na Domitila Mbawala ambaye ni Mmiliki wa Clara Beauty Salooni  liyopo Kimara Suka Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA