4x4

DOOO KWELI KAZI YA UPIGAJI PICHA ZA HABARI NI KIBOKO!!!!!

 Mmiliki wa Blogu ya Kamanda wa Matukio, ambaye pia ni Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Jamb o Leo, Richard Mwaikenda, akiwajibika kupata matukio wakati wa mechi ya Yanga na Bejaia ya Algeria ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jumamosi iliyopita.
 Mmiliki wa K-VIS Blog, Khalfan Said akiwa makini kupata tukio la picha wakati wa mechi ya Yanga na Bejaia ya Algeria kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mpiga Picha wa Michuzi Media Group, Othman Michuzi akijipinda kupiga picha za mechi hiyo ya Yanga na Bejaia.
Post a Comment