HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Mwenyekiti wa CCM Taifa Dr John Magufuli, amesema atawatumikia watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vyao ili kuiletea nchi maendeleo kwa kasi; https://youtu.be/0VkZeVkqlAU
SIMU.TV: Wakazi wa vijiji vinavyopakana na mto Kagera katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, wameiomba serikali kuingilia kati katika kutafuta amani ya wananchi wanaoishi kando ya mto huo; https://youtu.be/EQb4fNhWiWM
SIMU.TV: Wakazi wa kijiji cha Chakama katika wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wameelezea masikitiko yao ya kukosa huduma za kijamii toka kupatikana kwa uhuru; https://youtu.be/t1wBjZjHl7c
SIMU.TV: Makamu wa Rais Samia Suluhu amesema, serikali imedhamiria kuwapatia miradi mbalimbali wahandisi wazawa ili waweze kuendeleza ujuzi wao; https://youtu.be/IuXd2a6pvBo
SIMU.TV: Waziri wa ujenzi, mawasiliano na uchukuzi Prof Makame Mbarawa amesema, serikali inajitahidi kukarabati kwa uharaka kamera zilizoko eneo la ukaguzi ili kuimarisha usalama bandarini hapo; https://youtu.be/4aSXvNikE8k
SIMU.TV: Baadhi ya wakazi wa mji wa Mombasa nchini Kenya, wanavutiwa na sera pamoja na utendaji kazi wa rais Magufuli na kuwataka viongozi wengine barani Afrika kuiga kutoka kwake; https://youtu.be/neYdtXFSSqE
SIMU.TV: Serikali imeziagiza halmashauri za wilaya mkoani Ruvuma kuanzishwa kwa vikundi vya ushirika ili kurahisisha utoaji wa mikopo; https://youtu.be/71eCdfDNbsY
SIMU.TV: Wizara ya ujenzi. mawasiliano na uchukuzi imesema, serikali ya Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa wataalamu hususani katika sekta ya usafirishaji; https://youtu.be/A-thZYVsv-g
SIMU.TV: Kampuni za Bima nchini, zimetakiwa kuzingatia miongozo ya utendaji kazi wao ili kuepuka migogoro isiyokuwa na sababu za msingi; https://youtu.be/Alfu9IGcBck
SIMU.TV: Naibu waziri wa mambo ya ndani nchini Hamad Msauni, amezindua rasmi mashindano ya mpinga cup yenye lengo la kutoa elimu kwa wananchi juu ya usalama barabarani; https://youtu.be/0QPbeE4Tc1U
SIMU.TV: Wawakilishi pekee wa mashindano ya kimataifa nchini timu ya soka ya Yanga, inatarajia kujitupa uwanjani siku ya kesho kurudiana na timu ya Mo Bejaia katika kombe la shirikisho barani Afrika; https://youtu.be/o-QRM_oqBcY
SIMU.TV: Timu ya majeshi ya mchezo wa mikono ya Tanzania imefanikiwa kuifunga timu ya mchezo huo kutoka Uganda katika mashindano yanayoendelea nchini Rwanda; https://youtu.be/btI8ETVai-U
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)