4x4

HABARI MPASUKOOOOO!!!!!! MZEE ABOUD JUMBE AFARIKI DUNIA

Habari za kusikitisha zilizotufikia hivi punde ni kwamba, Rais wa Awamu ya  Pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mauti yamempata mchana leo nyumbani kwake Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam.

Mtandao huu utaendelea kuwaletea muendelezo wa taarifa za msiba huo kadri tutakavyokuwa tunapata.
Post a Comment