HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYONOGA KATIKA SHEREHE YA NDOA YA MASANJA

Muigizaji Maarufu wa sanaa ya vichekesho kutoka kundi la Orijino Komedi, Emmanual Mgaya a.k.a Masanja Mkadamizaji akishuhudia sebene babkubwa lililokuwa likiporomoshwa na Mkewe Bi. Monica Masatu alikuwa sambamba na Muigizaji mwenzake katika kundi hilo, Isaya Mwakilasa a.k.a Wakuvwanga, katika hafla ya Ndoa yao iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Primrose, jijini Dar es salaam.Picha zote na Joseph a.k.a Kasampaidadaily
 Masanja Mkadamizaji akizungumza jambo huku Mkewe Monica Masatu akisikiliza.
 Moja ya vitu vilivyowavutia watu wengi walioalikwa kwenye mnuso huo, ilikuwa ni hii show ya wakali hawa wa kuvunja mbavu ambao ni wafanyakazi wenza wa bwana harusi kutoka kundi la Orijino Komedi yaani hapo namzungumzia Joti, Wakuvwanja na Profesa. hawa jamaa waliiteka kabisa sherehe hiyo (angalia viveo hapo chini)




Wazazi.
Bwana Harusi Masanja Mkandamizaji akila Selfie na Mdau.
Wamekutana sasa, Bwana Harusi na Swahiba wake Joti.
Wapendezesha Harusi.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.