MAURINE AYUBU NDIO MSHINDI WA SHINDANO LA MISS KANDA YA KASKAZINI


mshindi wa Miss kanda ya kaskazini Maurine Ayubu akiwa anapunga mara baada yakutangazwa kuwa mrembo wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa pili Glory Stephen huku wa tatu akiwa ni Eligiver Mwasha warembo wote hawa wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss Tanzania


mmiliki wa blog ya libeneke la kaskazini akiwa na wanamuziki wa bendi ya Fm Academia katika onyesho hilowa tatu kulia ni dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge nae aliuthuria katika onyesho hilo la kumsaka mrembo wa kanda ya kaskaziniwazee wa gwasuma wakiwa kazini


dada Flora lauwo wa kipindi cha nitetee sauti ya mnyoge akiwa anaongea na washabiki waliuthuria ikiwa ni pamoja na kuwakaribisha katika shindano la kumsaka mrembo wa kanda ya ziwa (miss kanda ya ziwa ) ambalo linatarajiwa kufanyika mapema mwezi wa tisa mwaka huu(PICHA ZOTE NA WOINDE SHIZZA,ARUSHA)Mwandaaji wa shindano hilo wa kwanza kulia akiwa ana show love na a shabiki wake Meneja wa mkoa wa Arusha kampuni ya Bima ya Britam naye aliuthuria katika show hiyo ya kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini
wasani wa muziki wa kufokafoka nao waliuthuria usiku huu wa kumsaka mrembo wa kanda yakaskazinimweyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha naye aliuthuria katika show hiyo

hawa ndio majaji waliokuwepo siku hiyo
Muaandaaji wa shindano hilo Faustine Mwandago akiwa na warembo walioingia walishinda siku hiyo
Rais wa Bendi ya FM Academia (wazee wa Gwasuma ) akiwa anaonyesha mambo yake ndani ya onyesho hilo
wa kwanza kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya GEO Security ambaye pia ni mthamini wa shindano hilo akifuatilia show ya Fm Academia
wakurugenzi wa hotel ya Clous View ambao nao ni wathamini wa shindano hili wakifuatilia shindano halisi
Hawa ndio warembo wote 12 walioshirki shindano la kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini katika ukumbi wa Triple A arusha
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA MPENDWA WAO MWANAHABARI JOYCE MMASI