4x4

MKURUGENZI VITAMBUSHO VYA TAIFA (NIDA) AFIKISHWA MAHAKAMANI

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA), Dickson Maimu (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzake  wa mamlaka hiyo walipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, jana, kusomewa mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka.
 

Post a Comment