MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI ARIPOTI RASMI, OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Johnn Magufuli akipokewa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufika katika ofisi hiyo, akiwa Mwenyekiti wa Chama. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akimsalimia Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Abdallah Bulenbo,alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akimsalimia Angela Kairuki alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiendelea kuwasalimia wananchi na wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
  
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisaini kitabu baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), kumuonyesha Ofisi yake Mwenyekiti huyo, alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Wazir Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia na Mweyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiendelea kusaini vitabu Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo 
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) akitoa maneno ya kumkaribisha rasmi kwenye Ofisi yeke ya Uenyekiti wa CCM, Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli
 Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akishukuru baada ya kusaini Vitabu na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kumuonyesha rasmi ofisi. 
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo. Kulia ni Mama Janneth Magufuli, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa mezakuu na viongozi waandamizi alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akimkaribisha Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye kumkariisha Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, ili kuendelea na shughuli 
 Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu akizungumzabaada ya kupewa nafasi na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye
 Wananchi wakishangilia kwa bashasha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akizungumza kama Mwenyeji wa mapaokezi ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dk, John Magufuli
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akimkaribisha Kinana kumkariisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli kuzungumza na wana CCM na wananchi, Nje ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam, leo
 Katibu Mkuu akimkaribisha Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kabla ya kumkaribisha Dk. Magufuli
 Waziri Mkuu Majaliwa Kaasim Majaliwa akizungumza kabla ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kupanda jukwaani.
 Wananchi wakishangilia
 Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia, akizungumza baada ya kukaribishwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli kusalimia hadhara. Zifuatazo ni Picha zinazoonyesha Dk. Magufuli akionyesha msisitizo  wakati akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM. Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
 Watu wa kila rika walimsikiliza Dk. Magufuli kwa makini sana
Baadaye Dk. Magufuli alipanda jukwaa la Kikundi cha TOT na kucharaza tumba, kuonyesha umahiri wake pia  katika fani ya burudani.PICHA ZAIDI>>GONGA HAPA --
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA CHAKE CHAKE,MKOA WA KUSINI PEMBA LEO.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

TFF YATANGAZA MAJINA YA WACHEZAJI 30 WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU