4x4

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOHUTUBIA MKUTANO GEITA MJINI

12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Geita mjini mara baada ya kuwasili kutoka Kahama.
3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika viwanja vya mikutano vya Geita mjini mara baada ya kuhutubia.
4Wananchi wa Geita wakionesha furaha yao wakati Rais Dkt. Magufuli alipokuwa akihutubia mkutano viwanjani hapo.
PICHA NA IKULU
Post a Comment