Dkt. Lorah Madete, Kaimu Naibu Katibu Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya Mipango, akitoa neno kwa Maofisa na watendaji wa Idara za Sera na Mipango kutoka mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga na Katavi ambao ni washiriki wa mafunzo yanayohusu Mwongozo wa Usimamizi wa Uwekezaji wa Umma kabla ya kumkaribisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara (wa pili kushoto) Wengine ni Dkt. Jehovaness Aikaeli, Mhadhiri Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Bibi Rukia S. Manduta, Katibu Tawala Msaidizi, Mipango na Uratibu Mkoa wa Tabora
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dkt. Thea Ntara (aliyesimama) akitoa neno kwa washiriki wa mafunzo kuhusu Mwongozo wa Usimamizi wa Uwekezaji wa Umma kwa Maofisa na watendaji wa Idara za Sera na Mipango kutoka mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga na Katavi

Comments