4x4

RC AKAGUA BWENI LA SEKONDARI YA KIPILI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Zelothe Steven akikagua bweni la shule ya sekondari Kipili iliyopo mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi ambapo wanafunzi wanalazimika kulala chini kutokana na ukosefu wa vitanda
Post a Comment