4x4

RIDHIWANI AKABIDHI MADAWATI 537 HALMASHAURI YA CHALINZE

 Mbunge Jimbo la Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Chalinze, Said Zikatimu moja ya madawati 537 yaliyotokewa na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John Maguguli ambayo kwa niaba yao yamekabidhiwa na mbunge huyo

Post a Comment