STAA WEMA SEPETU AELEZA JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYO MPATA ZARI



Mimi mwenyewe najisikia hadi amani kwamba there is no beef, maisha yanaendelea, mimi sijarudiana na Diamond, mimi namrespect kama msanii, nampenda Diamond kama msanii and I love his music and I am so glad tumeweka all this behind,

 Mimi sina bifu na Zari na sijawahi kuwa na bifu na mwanamke wake yeyote Nasib, kwasababu huwa naona matatizo yangu mimi na Nasib ni mimi na yeye, Zari hana makosa, katongozwa, amedetiwa, amewekwa ndani, hana makosa hata kidogo huyo mwanamke

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI