Huu ni uchambuzi wa habari za magazeti ya leo August 13, 2016.
SIMU.tv: Magufuli: Kasi yangu ni hatari, maandalizi ya UKUTA yaanza kushika kasi, Mrema: Nipo tayari kushirikiana na CCM, JPM: nitageuza Ikulu jumba la maonyesho.Pata dondoo za magazeti ya leo hapa; https://youtu.be/qbBBKK9F6iQ
SIMU.tv: JPM: Nitageuza Ikulu jumba la maonyesho, Magufuli : Narejesha CCM ya Nyerere, JPM atangaza kiama cha mafisadi CCM, wakopaji elimu ya juu wapewa tahadhari. Pata dondoo za magazeti ya leo hapa; https://youtu.be/R1u3bosfwjU
SIMU.tv: Magufulia aibua dili chafu CCM, UKUTA wa CHADEMA waendelea kupanda, sakata la kupasua kichwa badala ya mguu yahamia China, ACT-yampinga Magufuli kwa barua; https://youtu.be/gMaOYgA8rfU
Comments