Uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri na mabaraza ya miji kisiwani Pemba MKURUGENZI wa Baraza la Mji Wete Philipo Joseph akisoma ratiba za mkutano wa Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Mhe:Haji Omar Kheir, Philipo kabla ya uteuzi huo alikuwa akifanya kazi ofisi kuu Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 AFISA Mdhamini ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Juma Nyasa Juma akitoa maelezo mafupi juu ya uzinduzi wa mabaraza ya madiwani Kisiwani Pemba,huko katika ukumbi wa kiwanja wa Makonyo Wawi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
 KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Mhe:Radhia Rashid Haroub, akizungumza na madiwani, Wakurugenzi wa mabaraza ya Miji na Halmashauri kisiwani Pemba, kabla ya kufanya uteuzi wa wakurugenzi wapya na kuzindua baraza la madiwani Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa Madiwani Wilaya ya Mkoani, Mwadini Ali Mwadini akitoa nasaha zake mara baada ya kuzinduliwa kwa mabaraza ya madiwani Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na madiwani, Wakurugenzi wa mabaraza ya Maji na Halmashauri Kisiwani Pemba, kabla ya waziri Haji Omar Kheri kuteuwa wakurugenzi wapya na kuzindua mabaraza ya madiwani Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Mhe:Haji Omar Kheir, akizungumza na madiwani, wakurugenzi wa mabaraza ya miji na Halmashauri Kisiwani Pemba, kabla ya kufanya uteuzi wa wakurugenzi wapya wa mabaraza ya miji na halmashauri na kuzindua baraza la madiwani Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Mhe:Haji Omar Kheir, akiwaonyesha madiwani sheria ambayo inayowaongoza uwepo wao, utendaji wao wa kazi za kila siku kabla ya kuzundua mabaraza ya madiwani Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Sueliman, PEMBA.)
 WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Mhe:Haji Omar Kheir, akitoa taarifa ya kuwateuwa wakurugenzi wa halmashauri na mabaraza ya miji kisiwani Pemba, kabla ya kuyazindua mabaraza ya madiwani kisiwani hapa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKURUGENZI wa Baraza la Mji Wete Philipo Joseph, akichukuwa dondoo za kikao kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Baraza la mji Wete.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WAKIANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA, MBOZI

JK AWATUNUKU WANAFUNZI 1400 DUCE DAR ES SALAAM