WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO NAPE NNAUYE AZINDUA MSIMU WA TATU WA CLUB RAHA LEO.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga gitaa na kuimba wakati wa uzinduzi wa shindano la Club Raha Leo msimu wa tatu katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam Agosti 7,2016.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga gitaa na kuimba wakati wa uzinduzi wa shindano la Club Raha Leo msimu wa tatu katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam Agosti 7,2016.
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) Dk. Ayoub Rioba akipiga ngoma wakati wa uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Bongo Movie Steve Nyerere akiimba wakati wa uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mara baaada ya kuwasili katika uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) Dk. Ayoub Rioba akizungumza na waandishi wa habari mara baaada ya kuwasili katika uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Huduma za Redio kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) na mratibu wa Club Raha Leo Show Bibi. Susan Mongi akizungumza na waandishi wa habari mara baaada ya kuwasili katika uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) Dk. Ayoub Rioba(kulia) walipokuwa wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
Mchekeshaji na muigizaji wa sauti za watu maarufu JK comedian akitoa burudani kwa mgeni rasmi na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
Afisa Habari Mwandamizi kutoka Wizara wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Jonas Kamaleki (kushoto) akifatilia uzinduzi wa wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akifatilia shindano la Club Raha Leo msimu wa tatu katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam Agosti 7,2016 katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) Dk. Ayub Rioba na kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Redio kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) na mratibu wa Club Raha Leo Show Bibi. Susan Mongi.
Mmoja wa majaji wa shindano la Club Raha Leo msimu wa tatu Bi. Marium Migomba (Kulia) akiwasalimia mashabiki mara baada ya kuzinduliwa wa shindano hilo Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam katikati na Jaji mkuu Innocent Nganyagwa na kulia ni Jaji Beatus.

Bendi ya Utalii ikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Club Raha Leo msimu wa tatu katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam Agosti 7,2016 .
Picha Zote na Raymond Mushumbusi WHUSM
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

ZAKIA MEGHJI AWATIA HAMASA GIRL GUIDES, ATAKA WAWE JASIRI

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!