4x4

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MPIGAPICHA JOSEPH SENGA

 Mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, marehemu Joseph Senga ukiwekwa kaburini wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba, Mwanza leo. (PICHA ZOTE NA SAID POWA)


Post a Comment