YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO August 13, 2016


SIMU.tv: Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watu wanne kwa tuhuma za ujambazi;https://youtu.be/0CeEDCsnmj0

SIMU.tv: Inaelezwa kuwa vijana wengi wa kitanzania bado wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo changamoto ya kiuchumi; https://youtu.be/zGW_8PtJr3Y

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala asitisha zoezi la uchenjuaji dhahabu katika mgodi wa Mbuyuni  uliopo Chunya ;https://youtu.be/EWrbu3lJ-nQ

SIMU.tv: Wananchi wa Kalulu wilyani  Tunduru  wako hatarini kukumbwa na njaa kutokana na Tembo kuvamia mashamba ya wananchi hao; https://youtu.be/OMyffvpznt8

SIMU.tv: Rais John Magufuli asema wakati umefika wa kukisafisha Chama Cha Mapinduzi CCM. https://youtu.be/ZTOQRR11IxQ

SIMU.tv: Makamu wa Rais Samia Suluhu awataka watoto wa kike nchini kuchangamkia masomo ya sayansi.https://youtu.be/ezwrMjHUcVE

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Ruvuma ampa siku 7 aliyekuwa kaimu mkuu wa idara ya ujenzi halmshauri ya Nyasa kujibu tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma; https://youtu.be/7du-JsP84wY

SIMU.tv: Serikali wilayani Mwanga yawataka wananchi  wa kijiji cha Kileo kuzingatia taratibu na sheria za ardhi; https://youtu.be/L-_NT0b4ZQ0

SIMU.tv: Wakazi wa kata ya Kayenze wilayani Ilemela mkoani Mwanza waiomba serikali kuwaboreshea huduma ya maji safi na salama; https://youtu.be/-Tg893bQ6d4

SIMU.tv: Wakazi wa kijiji cha Gubali mkoani Dodoma wapiga kura ya kumuondoa mwenyekiti wao kwa kushindwa kutimiza wajibu wake vizuri; https://youtu.be/8ZWTSSoEBrI

SIMU.tv: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. John Magufuli awataka wanachama wa CCM kuzingatia maadili ya chama;https://youtu.be/DLGeOvUCHUA

SIMU.tv: Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga, leo wanaikaribisha timu ya Mo Bejaia katika mchezo wa nne ili kuwania mchezo wa shirikisho barani Afrika; https://youtu.be/9n9AkGkyUCY

SIMU.tv: Mkuu wa koa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda  anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na bondia Francis Cheka katika pambano la kuhamasisha usafi jijini Dar Es Salaam: https://youtu.be/WlVxR8r_2r4

SIMU.tv: Mwanariadha wa Ethiopia Almaz Ayana amevunja rekodi ya dunia ya mbio za mita elfu 10 katika mashindano ya Olympic nchini Brazili: https://youtu.be/zka6FlUCHFM
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA