4x4

YANGA YA KIMATAIFA YAIFUMUA BEJAIA 1-0

 Mchezaji wa Yanga akiruka hewani baada ya kukwatuliwa na mchezaji wa Bejaia ya Algeria Zakari Bencheriva katika mechi ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda bao 1-0. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia huku wakionesha sanamu ya ndege kuwadhihaki watani wao wa jadi kwamba ni wa Kimataifa baada ya timu yao kushinda bao 1-0 dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia ya Algeria katika mchezo wa marudiano Kundi  A wa mashindano ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 Mchezaji wa Yanga akipambana kupita na mira katikati ya wachezaji wa Bejaia
 Kikosi cha Bejaia ya Algeria
 wapenzi wa Yanga wakishangilia baada ya timu yao kushinda bao moja dhidi ya Bejaia

 Mashabiki wa Yanga wakishangilia
 Kikosi cha Yanga

Post a Comment