4x4

HABARI MPASUKOOOOO!!!!!! WATU 11 WAPOTEZA MAISHA AJALI YA SUPER SAMMY MWANZA

 Mabaki ya gari dogo aina ya Toyta Hiace iliyogongana na Basi la Super Sammy jijini Mwanza leo Asubuhi, ambapo watu 11 wamepoteza maisha .

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema basi hilo liliigonga gari hiyo ndogo ambalo liliingia barabarani bila tahadhari, hivyo basi hilo lililokuwa kwenye mwendo kasi likaigonga.
 Muonekano wa gari hilo dogo baada ya kugongwa.

 Wasamaria wema wakifanya juhudio za kumuokoa dereva wa basi aliyekuwa amenasia kwenye usukani baada ya ajali hiyo.
 

Post a Comment