Baada ya uzinduzi wa safari ya teksi kupitia mtandao wa Uber, sasa kampuni ya Uber, imedokeza kuanzisha njia ya usafiri kupitia ndege maarufu Uber Chopper Nchini Kenya.
Kampuni hiyo inalenga kushirikiana na coporate helicopters katika uanzilishi wa safari ya kwanza ya Uber Chopper.
Ingawa huduma ya Uber Chopper inapatikana katika nchi ya Marekani na mji wa Dubai, Wakenya walipata kionjo cha safari hiyo mjini Nairobi.
Abdinoor Aden na maelezo zaidi.