4x4

KIKWETE AHUTUBIA MAREKANI AITAKA JUMUIA YA KIMATAIFA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ambaye ni Kamishna wa Kamisheni ya Kimataifa kuhusu Elimu, akihutubia mbele ya umati wa wakazi wa Jiji la New York, Marekani, katika Tamasha la Global Citizen lililofanyika Uwanja wa Central Park. Kikwete alichagiza jumuia ya kimataifa kuchangia na kuwekeza katika elimu kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho. (PICHA YA MTANDAO)
Post a Comment