LIPUMBA AREJESHEWA UENYEKITI CUF, RISASI ZALINDIMA MAPOKEZI BUGURUNI

 Wafuasi wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF),  Profesa Ibrahim Lipumba wakimshambulia mlinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi aliyekutwa akilinda ofisi za chama hicho, Buguruni Dar es Salaam  wakati kiongozi huyo alipowasili  eneo hilo baada ya kurejeshewa wadhifa huo na Msajiri wa Vyama vya Siasa nchini. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Lipumba akiwapungia mkono wananchi alipowasili Ofisi za CUF Buguruni

 Wafuasi wa Profesa Lipumba wakiparamia geti kuingia ndani


 Vurugu baada ya kuingia ndani ya ofisi za CUF
 Mlinzi mtiifu wa Lipumba akiwa na silaha waliyomnyang'anya mlinzi wa kampuni binafsi
 Mlinzi akapata mkong'oto
 Askari wa Kampuni binafsi ya ulinzi akishurutishwa na wafuasi wa Profesa Lipumba kutoka nje kwa kuruka ukuta wakati wa vurugu zilizozuka  katika ofisa za chama hicho, Buguruni Dar es Salaam.
 Askari wakilinda doria wakati wa vurugu hizo.
 Lipumba akionesha barua aliyopewa na Msajiri wa vyama vya siasa kumtambua kwamba yeye bando ni Mwenyekiti wa CUF
 Profesa Lipumba akihutubia wafuasi wake baada ya kuingia katika ofisi hizo.
 Lipumba akiondoka
Ulinzi ukiwa umeimarishwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.