4x4

PROFESA MWANDOSYA ATEMBELEA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

 Kamishna Mkuu wa Kwanza wa Nishati na Maendeleo ya Petroli nchini, Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akielezea uzoefu wake aliposhika wadhifa huo 1985, alimtembelea Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia Nishati, Dk. Juliana Pallangyo katika Wizara hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwakilishi kutoka Kampuni ya Pan African Energy aliyeambatana na Profesa Mwandosya, Jacqueline Kawishe
Profesa Mark Mwandosya akiwa katika picha ya pamoja na Dk, Pallangyo , Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli Wizara ya Nishati na Madini, James Andilile (kushoto) pamoja na Kawishe (kulia).
Post a Comment