PUMA ENERGY YAKABIDHI KADI MAALUM ZA WIKI YA USALAMA BARABARANI LEO, KUFANYIKA GEITA KITAIFA

1
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga pamoja na Mkurugenzi mkuu wa Puma energy,Philippe Corsaletti.(kushoto) wakionesha stika zitakazotumika katika wiki ya Usalama barabarani itakayofanyika kitaifa mkoani Geita hivi karibuni wakati wa kukabidhiana stika hizo maalum kwa ajili ya zoezi hilo leo jijini Dar eS Salaam.
2
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia) akikabidhiwa stika na Mkurugenzi mkuu wa Puma energy,Philippe Corsaletti jijini Da res Salaam leo,zitakazotumika katika zoezi la wiki ya Usalama barabarani inayodhaminiwa na Kampuni ya Puma energy itakayofanyika kitaifa mkoani Geita hivi karibuni.
3
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na wiki ya Usalama barabarani itakayofanyika kitaifa mkoani Geita hivi karibuni,wakati wa kukabidhiwa stika zitakazotumika katika zoezi hilo zilizokabidhiwa na Mkurugenzi mkuu wa Puma energy,Philippe Corsalettikushoto na kulia ni Mkurugenzi wa Selcom,Benjamin Mpamo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU