RAIS MAGUFULI AUNGURUMA UNGUJA ZANZIBAR

 Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wakati wa alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja leo.[Picha na Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia  wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja wakati akimkaribisha Dkt.John Magufuli katika mkutano wa kuwashukuru wananchi wa mikoa mitatu ya Unguja katika uwanja wa kibandamaiti leo.[Picha na Ikulu.] 03/09/2016
 wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli
 Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati wa alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja leo.[Picha na Ikulu.]


 Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akisalimia na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha salim Jecha  wakati wa katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi uliofanyika leo  katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja  wa kuwashukuru Wananchi wa Mikoa mitatu(3)  .[Picha na Ikulu.] 03/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimia na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha salim Jecha  wakati wa katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi uliofanyika leo  katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja  wa kuwashukuru Wananchi wa Mikoa mitatu(3) (katikati)Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli .[Picha na Ikulu.] 03/09/2016. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI