SPIKA NDUGAI AMTEMBELEA KINANA CCM


Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alipomtembelea katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiwasili katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam alipofika kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana 
Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akimsikiliza  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana  alipomtembelea na kuzungumza naye katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai (katika) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi  (CCM)  Abdulrahman Kinana (kushoto)  na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka (kulia) wakati alipomtembelea Katibu Mkuu wa CCM.
Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiagana   na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka mara baada ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Picha na Ofisi ya Bunge

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*