4x4

TIMU WEMA WALIVYOMSUPRISE WEMA SEPETU MKOANI TANGA

Ni miongoni mwa mastaa wachache wa Tanzania wenye mashabiki wengi, mwigizaji huyu na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu September 10, 2016 alifanyiwa suprise na mashabiki wake kutokea Dar 88.5 kwa kuja hadi mkoani Tanga kuhushudia show ya Vigoma pamoja na kukata keki stejini.
Post a Comment