4x4

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO September 15, 2016.

SIMU.tv: Waathirika  tetemeko watoa ya moyoni, Gavana afichua siri upotevu fedha mitaani, Kikongwe adaiwa kuua ajuza kwa wivu. Pata undani wa dondoo hizi hapa; https://youtu.be/dUB9p01bQ3M

SIMU.tv: BOT: Wapigaji wa fedha za dili imekula kwao, Wabunge 11 wafanya liishe saa tano usiku, Watano kizimbani kumdhalilisha Magufuli. Habarika na dondoo hizi hapa; https://youtu.be/bj_BNq1wjgA

SIMU.tv: JPM abana sekta zilizong’ara kwa JK, CUF yaingizwa mtegoni, Ukaguzi wa CAG utawaacha salama TFF? Kwa hayo na mengine mengi fuatilia magazeti hapa; https://youtu.be/UbB_2zHj4Xg

Post a Comment