Wataalam wa Jiolojia na Wasanifu majenzi wafanya upembuzi eneo la ujenzi wa majengo mapya shule ya IHUNGO.


 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof.Abdulkarim Mruma akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi Bi. Maimuna Tarishi maeneo sahihi ya ujenzi wa majengo katika shule ya sekondari Ihungo.
 Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Jiolojia akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi Bi. Maimuna Tarishi maeneo sahihi ya ujenzi wa majengo katika shule ya sekondari Ihungo.
 Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Jiolojia akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknolojia na Ufundi Bi. Maimuna Tarishi ramani ya maeneo katika maeneo sahihi ya ujenzi wa majengo katika shule ya sekondari Ihungo.
 Wataalam wa Miamba (JIOLOJIA) na Wasanifu Majengo wakiondoka katika eneo walilokuwa wakilifanyia upembuzi kwa ajili ya ujenzi wa majengo mapya ya katika shule ya sekondari Ihungo.
 Wataalam wa Miamba (JIOLOJIA) na Wasanifu Majengo wakifanya mjumuisho baada ya kukamilisha mapitio na upembuzi wa maeneo sahihi ya ujenzi wa majengo katika shule ya sekondari Ihungo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI