4x4

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENIInaelezwa kuwa madereva wa daladala mkoani Dodoma wagoma kwa muda wa saa saba kwa madai ya kukamatwa na askari bila sababu maalum; https://youtu.be/pm44pxayJRU

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu wa matukio ya wizi wa kutumia silaha;https://youtu.be/3u7Q7rrx2OQ

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai awataka wabunge wa bunge la Tanzania kuondoa tofauti zao badala yake washirikiane katika kujadili masuala yenye tija kwa jamii; https://youtu.be/2ia_vSafMds

Ofisi ya makamu wa Rais yakanusha taarifa zinazoenea katika mitandao ya kijamii kuhusu makamu wa Rais kutaka kujiuzulu;https://youtu.be/xfu_Zw1Yz7c

Fuatilia mazungumzo ya Naibu Meya Manispaa ya Ilala, akikuelezea kwa undani kabisa aina tano za mitaji katika ujasiriamali;https://youtu.be/XNp2zTax6sE

Sikiliza jinsi suala la fursa kwa vijana nchini linavyotiliwa mkazo katika kipindi hiki cha serikali ya  awamu ya tano;https://youtu.be/ODvkCxc7K5o

Post a Comment