4x4

YALIYOJIRI KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI

SIMU.tv: Ahadi ya Rais John Magufuli ya kujenga nyumba 644 katika eneo la Magomeni Kota  jijini Dar es Salaam yaanza kutekelezeka;https://youtu.be/OZvsyHmvWXM

SIMU.tv: Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wametakiwa kuweka utaratibu wa kutoa mafunzo kwa UVCCM kuhusu historia ya chama chao; https://youtu.be/EEKZjaICJWc

SIMU.tv: Mkuu wa wilaya ya Kilwa awataka wadau wa elimu wilayani humo kufuata miongozo inayotolewa na serikali katika kuboresha sekta ya elimu; https://youtu.be/vBfBHpRY3hc

SIMU.tv: Kiongozi wa mbio za Mwenge George Mbijima agoma kuzindua jengo la ofisi kata ya Mbongwe wilayani Nzega baada ya kubaini jengo hilo si jipya. https://youtu.be/0tkTSNWsw8Y

TBC: Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wametakiwa kuweka utaratibu wa kutoa mafunzo kwa UVCCM kuhusu historia ya chama chao;https://youtu.be/EEKZjaICJWc

SIMU.tv: Inaelezwa kuwa  chanzo cha mgogoro wa ardhi wilaya ya Rufiji mkoano Pwani inatokana na ongezeko la mifugo;https://youtu.be/jFQxQPRH29A

SIMU.tv: Benki nchini zimeombwa kutoa mikopo nafuu kwa kina mama ili kuwawezesha kujikwamua na umasikini;https://youtu.be/lVchyfRSIFQ

SIMU.tv: inaelezwa kuwa asasi nyingi za kiraia nchini zinakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo suala la fedha za kuendesha miradi mbalimbali; https://youtu.be/uD2eFZvNAwk

SIMU.tv: Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM Zanzibar wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuyalinda mapinduzi ya Zanzibar; https://youtu.be/XmurufeDjVg

SIMU.tv: Fahamu zaidi juu ya Ushiriki wa jamii katika mkakati kabambe wa kutokomeza ajari barabarani kufuatia wiki hii ya nenda kwa usalama; https://youtu.be/_vqElv_hRlE

SIMU.tv: Fahamu zaidi umuhimu wa hesabu kutoka kwa mhadhiri wa idara ya hesabu chuo kikuu cha Dar es salaam kufuatia siku ya hesabu duniani;https://youtu.be/7NEzRs-LPA0

SIMU.tv: Fuatilia uchambuzi kuhusiana na harakati za uchaguzi mkuu unaondelea nchini marekani kutoka kwa mchambuzi wa siasa, Moses Mutente; https://youtu.be/BV715wb3NuQ


Post a Comment