DC MUHEZA AKAGUA UJENZI WA ZAHANATI MPYA YA KIJIJI CHA ZENETI Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi,Mwanasha Tumbo katika akiongozwa na Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi na Mwenyekiti wa Serikali ya  Kijiji cha Zeneti wakitembelea Jengo jipya la Zanahati ya Zeneti iliyojengwa kwa ushirikiana baina ya Halmashauri,Wananchi na Shirika la World Vision na Mbunge wa Jimbo hilo ambalo limegharimu kiasi cha milioni 35.2
 Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Muheza,Mathew Mganga akimuongozwa Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyetembelea zahanati ya Zeneti kuona jinsi inayoendelea na ujenzi wake kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Zeneti
 Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiingia kwenye vyumba vya zahanati mpya ya Zeneti kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza,Lwiza Mlelwa
 Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew Mganga kulia akisisistiza jambo kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kutoka kushoto kuhusu ujenzi wa zahanati hiyo katikati ni Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi

 Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia
 Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akisisitiza jambo kwa Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi

 Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akiangalia baadhi ya vyoo vya Zahanati hiyo wakati alipoitembelea kuikagua na kuona namna ujenzi wake unavyoendelea.
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akiwaonyesha kitu diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi na Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Muheza,Mathew Mganga kulia wakati alipoitembelea Zahanati ya Zeneti
Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi akizungumza na wananchi  katika ziara hiyo ya Mkuu wa wilaya katika Zahanati ya Kijiji cha Zeneti
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Zeneti akiongea kwenye ziara hiyo ya mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akielezea mipango ya Halmashauri kuhusiana na kuhakikisha huduma za Afya zinawakuwa karibu na wananchi
Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew Mganga akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Zeneti wakati za ziara ya Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo

Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Zeneti Kata ya Potwe wilayani humo wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Zahanati ya Kijiji hicho
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akipitia taarifa ya ujenzi wa Jengo la Zahanati ya Kijiji cha Zeneti iliyopo Kata ya Potwe wilayani humo
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa nne kutoka kushoto akiwasilikiza wananchi waliokuwa wakiulioza maswali kwenye ziara hiyo
 Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Zenethi Kata ya Potwe wilaya ni Muheza wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo ambaye alifanya ziara ya kutembelea ujenzi wa zahanati ya Kijiji hicho
 Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akisikiliza kero ya mmoja wa wananchi ambaye alimfuata mara baada ya kumalizika mkutano baina yake na wananchi hao kulia ni Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi
 Kaimu Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew Mganga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mikakati waliojiwekea kuhakikisha wanazipatia ufumbuzi changamoto za Afya. Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA MPENDWA WAO MWANAHABARI JOYCE MMASI

KUMBE UNGA WA MUHOGO HUTENGENEZEA KIWASHIO MOTO CHA KIBIRITI