4x4

FURAHA ILIYOJE NILIPOKUTANA NA SCHOOL MATE WANGU AZANIA SEC RC JOHN MONGELA

Mmiliki wa Blog hii ya Kamanda wa Matukio, Richard Mwaikenda (kushoto) akiwa na furaha alipokutana na School Mate wake Shule ya Sekondari Azania, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera sasa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongele, wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli mwaka jana, mkoani Kagera.
Post a Comment