4x4

HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Msafara wa madaktari bingwa kutoka Saudi Arabia umewasili nchini kwa ajili ya kufanya upasuaji na matibabu kwa watoto wenye matatizo ya moyo. https://youtu.be/_YwSwMPoa_0
SIMU.TV: Serikali imesema itaendela kuwachukulia hatua kali wahudumu wa afya watakaobainika kuwauzia wagonjwa damu salama ambayo hutolewa bure. https://youtu.be/yMn3GjWh0kw
SIMU.TV: Kamati ya utendaji ya chama cha wananchi CUF wilaya ya Kilwa yasema inatambua maamuzi halali yote yaliyokwisha chukuliwa na mamlaka halali za chama hicho. https://youtu.be/ho74hvTsGSE

SIMU.TV: Tume ya kuratibu na kupambana na dawa za kulevya nchini yatoa mafunzo kwa vitengo vinavyopamabana na kuzuia uingizwaji wa dawa za kulevya nchini. https://youtu.be/3tP8nabGWXs

SIMU.TV: Wakazi wa wilaya ya Rufiji mkoani Pwani watakiwa kutoamini imani za ushirikina wanapokabiliwa na magonjwa badala yake wakapate matababu vituo vya afya. https://youtu.be/SiZv9j1Yv6c

SIMU.TV: Wakulima wa zao la mpunga wilayani Maswa watakiwa kuimarisha ushirika na kuzingatia kanuni bora za kilimo ili kupata manufaa kupitia kilimo hicho. https://youtu.be/olZyK_ca19s

SIMU.TV: Wananchi wa kijiji cha Matendo katika kata ya Matendo wilayani Kigoma wakataa kupitisha taarifa ya mapato na matumizi kutokana na kutosomewa taarifa kwa miaka mitatu iliyopita. https://youtu.be/E6BUD-GQcX8

SIMU.TV: Watumiaji wa maji nchini washauriwa kutumia vifaa maalumu vya kuhifadhia maji ili kuepuka magonjwa ya mlipuko yatokanayo na maji machafu. https://youtu.be/JTOrjrUQmKE

SIMU.TV: Benki ya CRDB tawi la Manyara yatoa msaada wa madawati kwa halmashauri ya wilaya ya Mbulu katika kuunga mkono juhudi za kumaliza tatizo la madawati nchini. https://youtu.be/oMMehWZQ_uI

SIMU.TV: Serikali imesema inakusudia kubadilisha utamaduni wa ndani kuwa chanzo cha utalii ili uweze kumnufaisha mwananchi mmoja mmoja. https://youtu.be/3q3S2OQ_Np0

SIMU.TV: Mbio za mwenge nchini zitakazo hitimishwa katika mkoa wa Simiyu zinatarajiwa kuburudishwa na wasanii mbalimbali wa ngoma za asili huku mgeni rasmi akiwa rais Dr John Pombe Magufuli. https://youtu.be/9oVaKYICcAY

SIMU.TV: Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini watoa wito kwa vijana nchini kuwa na utamadanu wa kupima afya zao mara kwa mara. https://youtu.be/eAGqQDX2WX0

Post a Comment