Preview YouTube video Ajali Yaua Mmoja Na Kujeruahi 44
Preview YouTube video Wamiliki Wa Vyombo Vya Usafiri Watakiwa Kuvifanyia Ukaguzi
Preview YouTube video BOT Yachukua Umiliki Wa Benki Ya Twiga
Preview YouTube video CCM Yaridhishwa Na Utendaji Wa Magufuli
Preview YouTube video Makonda Amaliza Mgogoro Wa Mwekezaji Na Mafundi Gereji
Preview YouTube video Vijana Kunufaika Na Mafunzo Ya Ujasiriamali
Preview YouTube video Changamoto Ya Barabara Longido
Preview YouTube video Serikali Yapongeza Bodi Ya Shirika La Simu Tanzania
Preview YouTube video Wananchi Wadai Fidia Kilwa
Preview YouTube video Kagera Sugar Yalizwa Tena Na Azam Fc
Preview YouTube video Serikali Yashauriwa Kurudisha Mitaala Ya Michezo Mashuleni
Preview YouTube video Mkuu Wa Wilaya Atoa Msaada Wa Vifaa Vya Michezo
Preview YouTube video Kocha Wa Westbrom Aongezewa Mkataba
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments