KAMANDA MWAIKENDA AKIWA NA RAIS KABILA DAR

 Mmiliki wa Blogu hii, ambaye pia ni Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Jambo leo, Richard Mwaikenda (wa nne kushoto) akiwa na wapiga picha wenzie  katika picha ya pamoja na Rais Joseph Kabila wa DRC Congo Ikulu, Dar es Salaam  leo.Wengine kutoka kushoto ni Said Powa wa Tanzania Daima, John Badi wa The Guardian, Anthony Siame wa Mwananchi, Ofisa Habari wa Mambo ya Nje na Mpiga Picha wa Ikulu, Jackson Msangula.
 Kamanda Richard Mwaikenda akivinjari kwenye viunga vya Ikulu, Dar es Salaam leo, alipokwenda kufanya coverage ya ziara ya Rais Kabila ambaye yupo nchini kwa ziara ya siku tatu. Anarejea kesho nchini kwake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI