MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA BENKI YA CRDB YAFANA

 Mmoja wa wateja wa CRDB Bank, akikata keki wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Wateja kwenye Tawi la Oysterbay, Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Oparesheni na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopdhyay na Meneja wa tawi hilo, Juliana Mhimbira.

 Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Oparesheni na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopdhyay akikata kipande cha keki tayari kumlisha mteja.
 Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Oparesheni na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopdhyay akimlisha keki mteja.
 Mteja naye akimlisha keki Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Oparesheni na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopdhyay
 Meneja wa tawi hilo, Mhimbira akitoa shukrani kwa wateja wa CRDB
 Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Oparesheni na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopdhyay akitoa shukrani kwa watja wa CRDB. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Mwambapa na Mhimbira.

 Baadhi ya wateja na maofisa wa CRDB wakipiga makofi baada ya kufurahishwa na hotuba hiyo
 Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Oparesheni na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopdhyay akimlisha keki mteja mwingine
 Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Oparesheni na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopdhyay (kulia) akimpatia zawadi mteja wa benki hiyo, Bilkhis Sherally wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja katika Tawi la Oysterbay, Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Mwambapa (wa pili kushoto) na Meneja wa tawi hilo, Juliana Mhimbira.
 Wateja wengine wakipatiwa zawadi


Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Mwambapa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja duniani
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA MPENDWA WAO MWANAHABARI JOYCE MMASI