Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella(Julia), akiwa na ujumbe wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania, walipotembelea Bandari ya Tanga na kujionea fursa za uwekezaji hapa nchini.
Kaimu Meneja Bandari Tanga, Hendry Arika, akiwafahamisha mabalozi wa nchi za Ulaya wanaowakilisha nchi zao nchini wakati walipotembelea Bandari ya Tanga kuangalia fursa za uwekezaji kufuatia ujio wa mradi wa bomba la mafuta Tanga.

Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Hendry Arika akizungumza na waandishi wa habari leo eneo litakalojengwa bomba la mafuta kijiji cha Chongoleani Tanga wakati wa ziara ya mabalozi 12 kutoka Jumuiya ya Ulaya wanaowakilisha nchini zai nchini.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Tanga, Daudi Mayeji, akiwaonyesha mabalozi wa nchi 12 za Ulaya wanaoziwakilisha nchini zao nchini ramani ya eneo litakapojengwa bomba la mafuta kijiji cha Chongoleani Tanga ziara waliyoifanya leo.
Comments