MABALOZI WA USALAMA BARABARANI ARUSHA WAMSHANGAZA KAMANDA MPINGA

 Kamanda Mohamed Mpinga akipokea "Birthday Surprise Cake " kutoka kwa Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Sikukuu ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016. PICHA NA GADIOLA EMANUEL
  Kamanda Mohamed Mpinga akipokea "Birthday Surprise Cake " kutoka kwa Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Kamanda Mohamed Mpinga akikagua "Birthday Surprise Cake " aliyopewa na Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Kamanda Mohamed Mpinga akipokea Chupa ya Shampeni kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bw. Bakari Msangi katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Kamanda Mohamed Mpinga akigonga Cheers na  Mabalozi katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Kamanda Mohamed Mpinga wakishiriki shampeni na Mabaozi katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Balozi Daniel Urioh akigonga Cheers kwa furaha na Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Katibu wa RSA - Arusha Bw. Gadiola Emanuel akigonga Cheers na Kamanda Mohamed Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Katibu wa RSA - Arusha Bw. Gadiola Emanuel akigonga Cheers na Kamanda Mohamed Mpinga huku kulia akishuhudiwa na Mwenyekiti. Bi. Stella na Kushoto ni Balozi Wilbard Ngambeki katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.

 Balozi Mustafa Panju akigonga Cheers kwa furaha na Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Balozi Wilbard Ngambeki akigonga Cheers kwa furaha na Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Mlezi wa RSA-Arusha na Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha ,SSP. Eng. Nuru K. Selemani akigonga Cheers kwa furaha na Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Balozi Seria Tumainiel akigonga Cheers kwa furaha na Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Balozi Vero Ignatus akigonga Cheers kwa furaha na Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Balozi Vero Ignatus akigonga Cheers kwa furaha na Kamanda Mpinga huku mwenye kiti akishuhudia katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Kamanda Mohamed Mpinga akikata "Birthday Surprise Cake " huku akishuhudiwa na Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
  Balozi Mustafa Panju akimlisha keki Kamanda Mpinga kwa niaba ya wazee waliopo katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
   Balozi Vero Ignatus akimlisha keki Kamanda Mpinga  kwa niaba ya wadada waliopo katika hafla ya Sikukuu ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
   Kamanda Mpinga akimlisha Keki Mwenyekiti wa RSA -Arusha Bi. Stella Rutaguza katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Mlezi wa RSA-Arusha na Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha ,SSP. Eng. Nuru K. Selemani akimlisha keki Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Mlezi wa RSA-Arusha na Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha ,SSP. Eng. Nuru K. Selemani wakipongezana na Kamanda Mpinga katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Kamanda Mohamed Mpinga akifurahia mlo wa usiku na Mabalozi  katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Kamanda Mohamed Mpinga akipata mlo wa usiku na Mabalozi  katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Kamanda Mohamed Mpinga akipata picha ya pamoja na Mabalozi  katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.
 Kamanda Mohamed Mpinga akipata picha ya pamoja na Mabalozi  katika hafla ya Siku ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016.



Mabalozi  wakizungumza na kufurahi ujio wa Kamanda Mpinga Jijini Arusha na kututafuta Mabalozi katika hafla ya Sikukuu ya kuzaliwa kwake (Mpinga ) iliyoandaliwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani na Kufanyika katika ukumbi wa Milestone Park, Sakina Jijini Arusha, 30/10/2016. Picha Zote na Gadiola Emanuel.








Na Vero Ignatus, RSA Arusha. 

Mabalozi wa usalama wa barabarani (Road Safety Ambassadors - Arusha) wamesherehekea sikukuu ya kuzaliwa ya Kamanda Mohammed Mpinga jijini Arusha. 
 
Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Milestone Park -Sakina, imeandaliwa na kamati ya (RSA -Arusha) chini ya mwenyekiti wa mkoa Bi. Stella Rutaguza na kuhudhuriwa na wajumbe wa( RSA - Arusha)  "Kwakweli mmenistua jamani sikutegemea kama mmeniandalia jambo kubwa
kama hili, nilijua nakuja kukutana tu na mabalozi ili kufahamiana na kuongelea maswala yetu ya usalama barabarani "alisema Mpinga. 

DCP Mpinga mbaye yupo kikazi jijini Arusha alikutana na mabalozi wa usalama barabarani,kwa lengo la kuongelea na kujadili maswala ya usalama barabarani na mabalozi hao,ambao kazi yao kubwa ni kuelimisha jamii, kukemea na kuripoti matukio yanayoathiri usalama barabarani na kushawishi mabadiliko ya tabia ,sheria na sera. 

Amezungumzia changamoto iliyopo kwa sasa kwa utoaji wa risiti pale dereva anapotakiwa kulipa faini kutokana na makosa yanayofanyika barabarani,amesema kuwa mfumo huo wa kieletroniki tayari umeshaanza kutumika jijini Dar-es-salaam na hivi karibuni mfumo huo utaanza kutumika katika mikoa sita iliyopewa kipaumbela kabla ya mwaka huu kumalizika. 


Ameitaja mikoa hiyo kuwa ni pamoja na Arusha, Pwani, Morogoro, Mbeya, Dodoma na Mwanza,na amewataka askari wa usalama barabarani kutumia lugha njema kuwaelewesha madereva pale wanapohitaji kupewa risiti za (EFD) ili waweze kutambua changamoto hiyo kwa sasa ambayo serikali inalishughulikia. 
 
Kwa upande wake mkurugenzi wa Bushbuck safaris Bw. Mustafa Panju amemuomba mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mkoani Arusha SSP. Eng. Nuru Suleimani ampe ruhusa ya kutoa mafunzo kwa askari wa usalama barabarani Arusha kuhusu huduma kwa mteja. 
"Nipo tayari kutoa ofa ya mafunzo kwa askari wetu wa kikosi cha usalama barabarani ukinipatia nafasi ,na hii itasidia sana " Alisema Panju. 

Naye mwenyekiti wa usalama barabarani mkoa wa Arusha Bi. Stella Rutaguza amempongeza Kamanda Mpinga katika siku yake ya kuzaliwa na kumtakia maisha marefu, yenye afya tele. 


Bi. Stella ameongeza kuwa katika mkoa wa Arusha kutakuwa na oparasheni Abiria paza sauti itakayofanyika kwa miezi mitatu lengo kuu likiwa ni kumjengea uwezo na kumuhamasisha dereva na abiria kuchukua tahadhari kuepuka ajali.

Amesema kampeni hii inalenga kumfanya abiria atambue haki na wajibu wake ,akiwa kwenye basi APAZE SAUTI pale panapotokea uendeshaji hatarishi barabarani,na pia kumfanya dereva abadili mtazamo wake na kujenga utamaduni wa usalama barabarani,hii inamfanya dereva na abiria
kuwa sehemu ya suluhisho la ajali za barabarani.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA