4x4

MAKAMU WA RAIS WA CUBA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa na mgeni wake Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Antonio Valdes Mesa wakikagua gwaride la heshima baada ya kumaliza ziara ya siku 3 ya kikazi nchini. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Antonio Valdes Mesa ambaye amemaliza ziara ya siku 3 ya kikazi nchini. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Post a Comment