4x4

PIUS KAZAULA KUZIPIGA NA IDD PIALALI NOVEMBA 12 TASUBA BAGAMOYO


Mabondia Pius Kazaula na Idd Pialali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Afrika uzani wa KG 66 utakaofanyika katika ukumbi wa TASUBA Bagamoyo mpambano utakuwa wa raundi 12 utapigwa novemba 12 Picha na SUPER D 
Post a Comment