4x4

RAIS KABILA WA DRC CONGO AWASILI KWA ZIARA YA SIKU TATU NCHINI

 Rais wa DRC Congo Joseph Kabila akiwasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tayari kuanza ziara ya siku tatu nchini. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Ndege iliyombeba Rais Joseph Kabila ikiwasili Dar es Salaam leo
 Rais Kabila akiwa na furaha alipolakiwa na Rais John Magufuli

 Kikundi cha ngoma cha JWTZ kikitumbuiza wakati wa mapokezi

 Moto ulisababishwa na mizinga aliyopigiwa Rais Kabila ukiwaka
 Kabila akikagua gwaride la heshima

 Wakongo waishio nchini wakiwa na furaha wakati wa mapokezi ya rais wao

Msafara ukiondoka uwanjani
Post a Comment