RAIS MAGUFULI AKUNWA NA ZOEZI KABAMBE LA KIVITA LA JWTZ BAGAMOYO


 Bomu lililorushwa na meli vita likiwa limelipuka eneo la adui wakati wa zoezi la kivita lililoshirikisha kombania zote za kijeshi yaani kutoka vikosi vya majini, anaga na nchi kavu na kushuhudiwa nna Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni katika Kijiji cha Baatini, Bagamoyo, mkoani Pwani jana. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Ndege vita zikipita eneo la mapambano wakati wa zoezi hilo.
 Makamanda wakiongoza vita kwa mawasiliano
 Meli vita zikielekea kwenye uwanja wa mapambano

 Meli vita ikiwa sambamba na vifaru vikisogea uwanja wa mapambano.

 Boti za kivita zikielekea uwanja wa mapambano
 Vifaru vinavyoelea na kutembea ardhini vikiishambulia kwa mabomu eneo la maadui.


 Kifaru kikitoka kwenye maji tayari kuingia nchi kavu sambamba na askari kwenda kuchambulia adui

 Meli vita ikishusha askari wanaokwenda uwanja wa mapambano
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli ana Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mwamunyange wakishuhudia zoezi hilo la kivita
 Wapiganaji wakirejea baada ya ushindi
 Bendi ya Mwenge Jazz ikitumbuiza askari waliofanikiwa kumfurumsha adui
 Magufuli na Mwamunyange wakipiga saluti wakati wimbo wa taifa ukupigwa baada ya zoe4zi la kivita kumalizika
 Wakipongezana
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli akiwapongeza askari walioshiriki zoezi la kivita la kukomboa 'kisiwa kilichokaliwa na wadhalimu' lililoshirikisha jeshi la anga, nchi kavu na majini katika Kijiji cha Baatini, Saadani, wilayani Bagamoyo, Pwani juzi.
 Rais Magufuli akiwapongeza askari wapiga mbizi watalaamu wa kutegua mabomu kwenye maji baharini
Askari wa Mgambo, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walioshiriki zoezi hilo la kivita  wakiwa na furaha baada ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais John Magufuli kumuagiza Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange waajiriwe na jeshi hilo na walio JWTZ wapandishwe vyeo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.