4x4

RAIS MAGUFULI AWASHUSHA VYEO WALIOMDANGANYA UWANJA WA NDEGE DAR

 Rais John Magufuli akikagua mashine za kukagulia mizigo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo, na kuamuru kuwashusha vyeo wafanyakazi wawili wa uwanja huo, Lilliani Minja na Novia Maduka  waliomdanganya rais kuwa mashine za ukaguzi zinafanyakazi wakati siyo kweli alipofanya ziara Mei 13, mwaka huu. . (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 Rais John Magufuli akimwamuru Kaimu Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, Paul Rwegasha (katikati) kuwapunguza vyeo wafanyakazi wawili wa uwanja huo, Lilliani Minja na Novia Maduka  waliomdanganya rais kuwa mashine za ukaguzi zinafanyakazi wakati siyo alipofanya ziara Mei 13, mwaka huu. Kulia ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Post a Comment