SIMBA YAIPASUA MBAO BAO 1-0


Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 iliendelea tena Alhamisi ya October 20 2016 kwa wekundu wa Msimbazi Simba waliwaalika Mbao FC ya Mwanza kucheza mchezo wao wa 10 Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
img_4517
Mchezo wa Simba na Mbao FC umekuwa tofauti na ulivyokuwa unatarajiwa na wengi kuwa Mbao wangeweza kuruhusu magoli mengi kwa Simba kutokana na Simba kwa sasa wanafanya vizuri wakati Mbao FC wakiwa wageni katika Ligi Kuu.
img_4515
Hali ya mchezo ilizidi kuwa ngumu kwa pande zote mbili kutopata matokeo, hali ambayo ilimfanya kocha wa Simba Joseph Omog kufanya mabadiliko yaliozaa matunda kwa kumtoa Laudit Mavugo na kumuingiza Fredrick Blagnon aliyetoa pasi ya goli lililofungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 86 na kuufanya mchezo kumalizika kwa Simbakuibuka na ushindi wa goli 1-0.
img_4510

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*