TAMASHA LA UTAMADUNI LA 35 LA KIMATAIFA BAGAMOYO



Tamasha la 35 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, limeendelea kukonga nyoyo za wakazi wa mji wa Bagamoyo na maeneo ya jirani ikiwa ni muendelezo burudani za kila siku tangu lilipofunguliwa mwanzoni mwa wiki hii, tamasha hilo limesheheni madhari halisi ya Muziki na ngoma mbalimbali za kiasili, Sanaa za Uchoraji na Uchongaji pamoja na Sanaa za Sarakasi na Maigizo mengi ya kuvutia na ya aina yake, linandelea kufanyika katika Kumbi za Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) Mkoani Pwani, huku likitazamiwa kufikia tamati siku ya Jumapili Oktoba 2, 2016. Zifuatazo ni picha za kuvutia za matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea kwenye Tamasha hiyo.
 Tamasha la 35 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, limeendelea kukonga nyoyo za wakazi wa mji wa Bagamoyo na maeneo ya jirani ikiwa ni muendelezo burudani za kila siku tangu lilipofunguliwa mwanzoni mwa wiki hii, tamasha hilo limesheheni madhari halisi ya Muziki na ngoma mbalimbali za kiasiliSanaa za Uchoraji na Uchongaji pamoja na Sanaa za Sarakasi na Maigizo mengi ya kuvutia na ya aina yake, linandelea kufanyika katika Kumbi za Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa) Mkoani Pwani, huku likitazamiwa kufikia tamati siku ya Jumapili Oktoba 2, 2016. Zifuatazo ni picha za kuvutia za matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea kwenye Tamasha hiyo.






























Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA