4x4

TFDA YANASA DAWA BANDIA LUKUKI

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo  (katikati) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Dawa na Bidhaa Nyongeza, Adonis Bitegeko  (kulia) na Msajili wa  Baraza la Famasi, Elizabeth Shekalaghe  wakionesha jana baadhi ya dawa bandia wakati wa mkutano wa kutoa matokeo ya ukaguzi maalum wa dawa bandia uliofanyika jijini Dar es salaam. (PICHA NA ALLY DAUD-MAELEZO)
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akionyesha baadhi ya dawa bandia zilizokamatwa baada ya ukaguzi maalum uliofanyika maeneo ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini wakati alipoongea na waandishi wa habari katika mkutano wa kutoa matokeo ya ukaguzi wa dawa bandia huo jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo katikati akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa mkutano wa kutoa matokeo ya ukaguzi maalum wa dawa bandia uliofanyika maeneo ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini , wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa dawa na bidhaa Nyongeza Bw. Adonis Bitegeko na kushoto ni Msajili wa  Baraza la famasi Bi. Elizabeth Shekalaghe.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo hayupo pichani wakati wa mkutano wa kutoa matokeo ya ukaguzi maalum wa dawa bandia uliofanyika jijini Dar es salaam.
Post a Comment