UTT-DIP YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA UPIMAJI/UUZWAJI VIWANJA VYA MANISPAA NCHINI


 Meya wa Manispaa ya Lindi Mohamed Lidume akielezea jinsi manispaa hiyo ilivyofanikiwa katika mpango wa kuuza viwanja vilivyopimwa wakati wa mkutano wa wadau wa ardhi, wakurugenzi wa Manispaa, Mameya na wanahabari, Dar es Salaam leo, kuhusu mafanikio ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID). (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mkuu wa Idara ya Ardhi, Mipango Miji na Maliasili Manispaa ya Lindi, Michael Mlambongo akielezea jinsi manispaa hiyo ilivyofanikiwa katika mpango wa kuuza viwanja vilivyopimwa wakati wa mkutano wa wadau wa ardhi, wakurugenzi wa Manispaa, Mameya na wanahabari, Dar es Salaam , kuhusu mafanikio ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID). Kushoto ni  Ofisa Mkuu wa Usimamizi wa Miradi wa  Taasisi hiyo, Shakiru Abdulkarim.
 Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Nipashe, Raphael Kibiriti akichangia mada wakati wa mkutano huo.
 Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo akielezea mafanikio ya uuzaji wa viwanja vilivyopimwa katika manispaa hivyo
 Mwandishi wa habari, BARNABAS LUGWISHA akiuliza swali wakati wa mkutano huo
 Mhariri wa Gazeti la Mtanzania, Bakari Kimwanga akiluliza kuhusu mgogoro wa uuzwaji wa viwanja uliokuwa unafukuta katika Manispaa ya Bukoba, ambao hata hivyo Meya wa Manispaa hiyo, Chief Kalumuna alisema wameumaliza na viwanja vinauzwa kama kawaida chini ya usimamizi wa UTT PID
 Meya wa Manispaa ya Bukoba Chief Kalumuna akieleze jinsi walivyoumaliza mgogoro wa uuzaji wa viwanja katika manispaa hiyo.

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NAMAINGO YAZINDUA HEKA 7000 ZA MASHAMBA MJI KIJIJI CHA MSOLWA, MKURANGA

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

HABARI MPASUKOOO:GARI LAGONGA WATOTO KUIKWEPA BODABODA GONGO LA MBOTO

HARAMBEE YA UJENZI HOSPITALI YA MUHEZA YAVUKA MALENGO, ZAPATIKA BIL. 1.6

WAZIRI SHONZA AMJIBU DIAMOND

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

HABARI MPASUKOOO!!! MCHAWI ADONDOKA AKIWA UCHI KIVULE,DAR